Tabia 10 zinazoharibu Figo
Kubana mkojo muda mrefuKutokunywa maji ya kutosha kila sikuKutumia chumvi nyingi kuzidi kiwangoKula nyama mara nyingiKutokula chakula cha kutoshaKuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihiKutumia visivyo dawa za kutuliza maumivuKutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefuKunywa pombe kupita kiasiKutopata muda wa kutosha kupumzika
Kunywa glasi 2 za juisi ya parachichi kila siku kutaziweka figo zako katika hali ya usafi na afya.