Alichokiandika masanja mkandamizaji baada ya kukutana na Magufuli

>


Ukisalimiana na mkuu wa nchi lazima ucheki pembeni kidogo, maana anaweza kuona kachunusi akadhani jipu. Kauliza nguo bei gani, nikasema tumegaiwa kanisani. Maana angeweza kusema hela umetoa wapi na risiti ya mashine ya TRA ya manunuzi iko wapi.

>


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »