bifu la mwanamuziki diamond platinum na alikiba sasa ni vita ya kifamilia

>


 www.neemayetu.commevuja!PKifamilia! za kusaka mafanikio na kufika mbali kimuziki zimeibua jipya kati ya wakali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ ambapo vita yao imehama kutoka kwa mtu na mtu na sasa imekuwa ya kifamilia.

Wachunguzi wa masuala ya burudani Bongo wanadai kwamba, kila mmoja anatumia familia yake kujifanyia matangazo (promo).Kwa mujibu wa sosi aliye karibu na Kiba, kwa sasa jamaa huyo anatembelea nyota au Waswahili wanasema viatu vya Diamond kwa kufuata staili ileile anayoitumia kujifanyia promo ambayo mpaka sasa imempa mafanikio makubwa.

KISIKIE CHANZO
“Hivi Wikienda mnajua kuwa kwa sasa Ali (Kiba) ameona afuate staili ya Diamond? Kwa sababu kama ninyi ni wafuatiliaji mtagundua kuwa zamani alikuwa hana mazoea ya kuanika familia yake kama ilivyo sasa.

AANISHA STAILI HIYO
“Kwa mfano ni hii staili yake mpya ya kutoka na mama, dada yake, Zabibu na sasa anatumia hata watoto kama Diamond anavyomtumia Tiffah (Latifah Nasibu).

“Hii ni staili ambayo amekuwa akiitumia Diamond ambaye huwa anapenda kutoka na Esma (Platnumz) au Queen (Darleen) na mama yao, Sandra (Sanura Kassim) kisha anamuongezea Zari

>


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »